• HABARI MPYA

    HABARI MOTOMOTO

    HABARI YA KIMATAIFA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    • HABARI ZA NYUMBANI
    • SIMBA
    • YANGA
    • AZAM
    Saturday, May 04, 2024
    KMC YAAMBULIA SULUHU KWA KAGERA SUGAR LEOCHAMAZI

    KMC YAAMBULIA SULUHU KWA KAGERA SUGAR LEOCHAMAZI

    TIMU ya KMC imelazimishwa sare ya bila mabao na Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Azam Complex, Cham...
    YANGA YAWASILI KIGOMA NA KUPATA MAPOKEZI MAZURI

    YANGA YAWASILI KIGOMA NA KUPATA MAPOKEZI MAZURI

    KIKOSI cha Yanga kimewasili Kigoma mchana wa leo na kupata mapokezi mazuri mamia ya mashabiki wakijitokeza Uwanja wa Ndege kuwapokea wacheza...
    KYOMBO APIGA ZOTE MBILI SINGIDA YAIKANDA DODOMA 2-0

    KYOMBO APIGA ZOTE MBILI SINGIDA YAIKANDA DODOMA 2-0

    WENYEJI, Singida Fountain Gate wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo ...
    JKT TANZANIA YAICHAPA GEITA GOLD 2-0 MBWENI

    JKT TANZANIA YAICHAPA GEITA GOLD 2-0 MBWENI

    WENYEJI, JKT Tanzania wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Mej...
    Friday, May 03, 2024
    AZAM FC YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA TFF KWA KISHINDO

    AZAM FC YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA TFF KWA KISHINDO

    TIMU ya Azam FC imekamilisha idadi ya timu nne za Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayotambulishwa kama...
    SIMBA SC YAICHAPA MTIBWA SUGAR 2-0 CHAMAZI KOUBLAN AMEWEKA

    SIMBA SC YAICHAPA MTIBWA SUGAR 2-0 CHAMAZI KOUBLAN AMEWEKA

    WENYEJI, Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Azam ...
    Thursday, May 02, 2024
    Wednesday, May 01, 2024
    YANGA YAIKANYAGA TABORA UNITED 3-0 NA KUTINGA NUSU FAINALI KOMBE LA TFF

    YANGA YAIKANYAGA TABORA UNITED 3-0 NA KUTINGA NUSU FAINALI KOMBE LA TFF

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wamefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano ambayo sasa inajulikana...
    COASTAL UNION WATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA TFF

    COASTAL UNION WATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA TFF

    TIMU ya Coastal Unión imefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya ushindi wa 1-0 katika mchezo wa Robó Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzan...
    IHEFU YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA TFF YAITOA MASHUJAA KWA MATUTA

    IHEFU YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA TFF YAITOA MASHUJAA KWA MATUTA

    TIMU ya Ihefu imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama CRDB Bank Federation Cup baada ya ...
    TABORA UNITED KAMA KAWAIDA, YAFUNGIWA KUSAJILI KWA KUTOMLIPA MCHEZAJI WAKE

    TABORA UNITED KAMA KAWAIDA, YAFUNGIWA KUSAJILI KWA KUTOMLIPA MCHEZAJI WAKE

    SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limeifungia klabu ya Tabora United kusajili mchezaji mpya hadi itakapomlipa aliyekuwa mchezaji wake, ...
    Tuesday, April 30, 2024
    SIMBA SC YAAMBULIA SARE KWA NAMUNGO FC 2-2 RUANGWA

    SIMBA SC YAAMBULIA SARE KWA NAMUNGO FC 2-2 RUANGWA

    WENYEJI, Namungo FC wamelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Majaliw...
    Monday, April 29, 2024
    JKT TANZANIA YAICHIMBIA KABURI MTIBWA SUGAR, YAICHAPA 2-1 MBWENI

    JKT TANZANIA YAICHIMBIA KABURI MTIBWA SUGAR, YAICHAPA 2-1 MBWENI

    WENYEJI, JKT Tanzania wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa M...
    Sunday, April 28, 2024
    HATIMAYE PAMBA FC YAREJEA LIGI KUU, BIASHARA NA MBEYA KWANZA KUJARIBU ‘MLANGO WA UANI’

    HATIMAYE PAMBA FC YAREJEA LIGI KUU, BIASHARA NA MBEYA KWANZA KUJARIBU ‘MLANGO WA UANI’

    HATIMAYE timu ya Pamba ya Mwanza imefanikiwa kurejea Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya wenyeji, Mbuni FC ...
    MASHABIKI SIMBA WALIVYOJITOKEZA KUPOKEA KOMBE LA MUUNGANO

    MASHABIKI SIMBA WALIVYOJITOKEZA KUPOKEA KOMBE LA MUUNGANO

    MASHABIKI wa Simba SC waliojitokeza kuwapokea wachezaji wao baada ya kurejea kutoka Zanzíbar ambako jana walitwaa Kombe la Muungano kufuatia...
    RAIS WA ZANZIBAR DK MWINYI ALIVYOWAKABIDHI SIMBA KOMBE NA ‘MAHELA’ YA MUUNGANO JANA

    RAIS WA ZANZIBAR DK MWINYI ALIVYOWAKABIDHI SIMBA KOMBE NA ‘MAHELA’ YA MUUNGANO JANA

    RAIS wa Zanzíbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akimkabidhi Kombe la Muungano Nahodha wa Simba SC, Moha...
    Saturday, April 27, 2024
    NI SIMBA SC MABINGWA WA KWANZA MUUNGANO CUP, WAICHAPA AZAM 1-0 ZANZÍBAR

    NI SIMBA SC MABINGWA WA KWANZA MUUNGANO CUP, WAICHAPA AZAM 1-0 ZANZÍBAR

    TIMU ya Simba SC imefanikiwa kutwaa Kombe la Muungano baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Fainali usiku huu Uwanja...
    YANGA SC YAICHAPA COASTAL UNION 1-0 CHAMAZI BAO LA GUEDE

    YANGA SC YAICHAPA COASTAL UNION 1-0 CHAMAZI BAO LA GUEDE

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Coastal Unión katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa ...
    Friday, April 26, 2024
    DODOMA JIJI YAICHAPA KMC 1-0 UWANJA WA JAMHURI

    DODOMA JIJI YAICHAPA KMC 1-0 UWANJA WA JAMHURI

    BAO pekee la mshambuliaji Paul Peter Kasunda dakika ya tisa limeipa Dodoma Jiji FC ushindi wa 1-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya ...
    STRAIKA MRUNDI AIPONZA TABORA UNITED YAFUNGIWA TENA KUSAJILI

    STRAIKA MRUNDI AIPONZA TABORA UNITED YAFUNGIWA TENA KUSAJILI

    SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limeifungia klabu ya Tabora United kufanya usajili wa mchezaji mpya hadi hapo itakapomlipa madai yake...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top